Lately nimekua niki pen down , si unajua ni ngumu kuacha kalamu chini
Nimekua niki observe lately
Nimekua niki dream kukinyesha
Kila mtu huu miss wet dreams
Wakitafuta ma miss wa ku wet their dreams
Ma miss nao wana stick around na wasee
Hawaezi eka stick down
Wana taka always kumake their cats wet
Yes hawataki msee ana cut the supply of proteins to the cat.
Si unajua venye paka inapenda maziwa.

Maisha ya campus tricky
Unakosa direction ukiwa ume hold compass
Una ambiwa its none of your business na unafanya commerce
Hapo ndo utajua kweli unafanya a degree ya kuwa bachelor
Ni high time niache kuandika prose za kizungu
Niangalie pros za kutoongea kizungu
Unamtongoza juu anarangi ya kukupea kizunguzungu
Ye nae anaingia box juu ameona unaeza mpeleka KFC na umbuyie lunch za kizungu zungu

Wanaogopa hawa waschana kula surwa
Sijui ni ati venye hujiandika kwa sura?
Hawapendi ukitumia sure
Sijui inawafanya waache kuwa sure
Wanataka ma rough rider
Na bado unauliza mbona wanabeba ball za watu wa nduthi
Wanashangaa venye watasmama kwa barabara saa moja kukunywa supu na mtura ya twenty.

Najua umenotice siongei kizungu lately
Si ati nime embrace kiswahili
Ni venye nimekua nikitafuta wangu wa pili
Msee anaeza understand diet ikikosa pilipili
Si msee ataniuliza who is pilipili
Msee kuomba si lazima ikue jumapili
Nataka msee tabia za kighetto ataifanana ka shilingi kwa ya pili
Si semi msee atani block meso yake ikijibiwa ya pili
Au hata kukosa hio tick ya pili
Nataka msee anaelewa social media ni just another form of media
Msee si lazima nimjibu na me too dear
Ama nimwambia thats so dear
Na akose kulia
Nataka msee si lazima akule nyama
Msee anajua kutuliza mahanjam
Si msee wa baby bado uko kwa jam
Na ukiinsist umechoka ata jam
Msee anajua hakuna difference ya blueband na jam
Msee anajua Miguna akinitusi
Si kuongea tu kizungu za tausi
Msee anaogopa kupata virusi
Msee anajua nataka ndoa yaani harusi
Ako wapi? Mbona simnusi?

1 Comment

  1. RJM The Secret Millionaire

    May 5, 2018 at 2:33 pm

    Kazi safiiiiiii
    Napenda hii

    Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *